HUDUMA YA MAOMBI YA UREJESHO


Hii ni huduma ambayo nilipewa na Mungu mwaka 2009 kwa mataifa yote.Huduma hii haina dhehebu lakini msingi wake ni Yesu Kristo mwokozi wa watu wote na ROho Mtakatifu msaada wa karibu.Mungu yupo kwetu kwa makusudi maalumu.Na hakuna jambo chini ya jua ambalo halina kusudi.Shetani yupo kubadilisha makusudi mema ya Mungu kuwa Mabaya LAKINI Mungu yupo kutengeneza na KUREJESHA makusudi yake mema.


MALENGO ( WORLDWIDE )
1.KUHAKIKISHA KWA NJIA YA:
           A:NENO LA MUNGU ( KUHUBIRI )
                     -Warumi 10:14, Isaya 55:11, Mithali 30:5
B:MAOMBI NA MAOMBEZI
           -Mathayo 7:7, Yakobo 5:14-15
C:USHAURI (COUNSELLING )
            -1Timotheo 5:1-2
WATU:-
v Wanarejea kwa Mungu ( kuokoka ).Mathayo 28:19, Marko 16:15-18
v Wanarudishiwa HAKI yao na vitu vyao walivyonyang’anywa na
Shetani.Yoeli 2:25.
Mfano:-AFYA, AKILI, UTAJIRI/MALI, VIPAWA / UTUMISHI, UHURU
             WA KUABUDU, MAMLAKA YA KUTAWALA, KUMILIKI NA
             KUTIISHA n.k.Isaya 42:6-7, Yeremia 1:10, Mwanzo 1:28
v Watu wafunguliwe na kuwekwa HURU kabisa.Isaya 52:3

2.KUMFANYA MWANADAMU AMWABUDU MUNGU KATIKA ROHO NA KWELI.
             Nia na madhumuni makuu ya Mungu kumuumba mwanadamu ni kwamba Mungu apate kuabudiwa, na ndio maana akaandaa mazingira mazuri / stahiki(condunsive environment) ya kumfanya mwanadamu afikiri tu juu ya Mungu na siyo matatizo.Mwanzo 1:26-28, Yohana 4:23-24, Hosea 13:4-8, Kumbukumbu 8:18.


MISINGI YA HUDUMA
A: MAOMBI
Filipi 4:6-7, Matendo 4:30-31, Yeremia 31:9, Zaburi 105:4, Zaburi 32:6, Isaya 62:6-7.
B: KUFUNGA
Isaya 58:6, Mathayo 12:21, Yoeli 2:12,15, Yoeli 1:14.
Jumatano na siku nyingine.
C: IMANI
Ebrania 11:1, Mathayo 17:20, 2Wakorintho 5:7, Marko 9:23
D: UTAKATIFU
Ebrania 12:14, 1Petro 1:15-16, Ufunuo 22:11, 1Yohana 3:3, Efeso 4:29-30
E: NENO LA MUNGU
Ebrania 4:12, Ufunuo 19:13-16, Yohana 1:1-5,14, Mithali 30:5, Zaburi 107:20, Zaburi 119:17-18, Isaya 40:8, Zaburi 119:105, Hosea 4:6, Marko 12:24.
F: UFUNUO WA ROHO MTAKATIFU
Yohana 16:13, Amosi 3:7, Yohana 14:26, Mwanzo 6:13, Zaburi 32:8, Mithali 3:32, Zaburi 143:10, Zaburi 25:4.
N.B: Kumtegemea zaidi ROHO MTAKATIFU kupita vyote ( akili, ufahamu, fikra n.k).Warumi 8:26, 2Wakorintho 10:5
MSINGI MKUU WA IMANI
"YOTE YAWEZEKANA KWAKE YEYE AAMINIYE"
MARKO 9:23
MAWASILIANO
Mobile no: 0757 350527

Na: NICKSON KIPANGULA-R.P.S

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KURUHUSU UTUKUFU (GLORY) WA BWANA KUFANYA JAMBO KATIKA MAISHA YAKO