Posts

Showing posts from 2013
IBADA HALISI INAANZIA ROHONI Yohana 4;23-24 IBADA ni ushirika kati yako na Mungu sawasawa na nafasi zenu. MAANA YAKE; Mungu ni baba yako na wewe ni mwana wake. Hivyo, unanyenyekea na kusikiliza anachokuagiza baada ya hapo unampa mahitaji yako. >Yeye anakupa maagizo na kusikiliza unachohitaji.( You MUST appreciate not only what God has done,but also what he IS ABLE to do. Katika Ibada halisi kuna:- >Kuabudu halisi >Imani halisi >Ushuhuda halisi >Maono halisi na, >MIUJIZA halisi. Bila kuzama rohoni mambo yako yanakuwa ni ya kuigiza. Warumi 8;5-6 ·          Unalia machozi ya samaki baharini (yasiyokumbukwa) ·          Unapigana na upepo adui yupo upande mwingine *Wahubiri wengi huhubiri kwa hekima za kibinadamu siyo kwa Roho mtakatifu na kwa NGUVU kwa kuwa Ibada zao si za rohoni. 1korintho 2;4-5 *Huwezi ukajua uliyokirimiwa na Mungu (KARAMA ZA MUNGU KWAKO) kama hauabudu katika Roho na kweli. 1korintho 2;9-12 *Huwezi ukaabudu k

KAZI YA DAMU YA YESU ILIYO ACHILIWA MWILINI MWAKE.

1.KUFANYA AGANO JIPYA KATI YA MWANADAMU NA MUNGU. **Agano jipya ni Imara zaidi lihusulo WOKOVU kwa NEEMA kwa njia ya IMANI **Limefanyika kwa damu ya Yesu inenayo MEMA kuliko damu nyingine Zote. -inanena:-UPONYAJI,UZIMA,WOKOV U,MAFANIKIO nk. **Imetolewa na Yesu mwenyewe kama KUHANI MKUU.Ebr 4:14-16. 2.DAMU KUTOKA KICHWANI MWAKE a).Damu iliyotoka kama jasho. Luka 22:44 >>LENGO:- ....Kufuta laana ya KULA KWA JASHO.Mwa 3:19,hagai 1:6-7. *kutumia nguvu sana kunafanya jasho kitoke.MEANS: MTATUMIA NGUVU NYINGI BILA MAFANIKIO MAANA HAMNA MAARIFA. -ndiyo maana wakristo wengi wanaishi kwa madeni HAWANA MAVUNO jambo ambalo siyo mpango wa Mungu kabisa.KUMBUKA: IPO TOFAUTI KATI YA MKOPO NA DENI! *Kwanini damu kama jasho imwagike kichwani??? -(KUTENGENEZA KWA UPYA MFUMO WA AKILI<ubongo> ili mwanadamu aweze kufikiri kwa undani kuliko kufanya mambo mengi yasiyo hata na mafanikio b).Damu kutoka kichwani mwake kwa TAJI YA MIIBA.Math 27:29. >>LENGO:- **Kufut

ULIVYOZUNGUKA MLIMA HUU VYATOSHA!!!!!!!!!!!!!

>>>>>>KUMBUKUMBU 2:1-3<<<<<<<<<<<<<< Mpendwa,Inawezekana kabisa kuwa maisha yako yamekuwa ni ya kukatisha tamaa,Huoni hata mlango wa kuanzia wala hujui njia ya kuiendea. Mungu ana NENO juu yako.Wana wa israeli walipokuwa wanaambiwa na Musa kwa habari ya ukombozi wao waliona kama anaongea habari za ndoto za mchana.Hawakuamini kuwa Mungu anaweza watoa kweli kwenye mikono ya Farao kwa jinsi alivyo kuwa na majeshi hodari. Hata walipotolewa katika mikono ya Farao, wanapofika Bahari ya Shamu bado hawaamini kuwa wanaye mfanya njia pasipo njia mbele yao na mkausha bahari.Wanamlilia Mungu wakiwa na Musa. KUTOKA 14:13-15. KUMBUKA Musa ameshawaambia kuwa simameni mkauone wokovu wa Bwana. Mungu anamwambia Musa kwanini MNANILILIA mimi? Cha kushangaza ni kwamba na Musa alianza kulia.Jifunze kuwa huwezi ukapata ukombozi kwa IMANI ya mtu mwingine hata kama ni mtumishi.Yesu alikuwa anawaambia waliokuwa wanamwendea kuw

KUKUA KIROHO (SPIRITUAL GROWTH)

UNAPOKUA KUELEKEA UTU UZIMA KIROHO KUNA MAMBO KADHAA YATABADILIKA   Utu uzima ni wakati ambapo mambo mengi yahusuyo maamuzi utayaamua mwenyewe Hautategemea wazazi kwa maamuzi yote Hautategemea mchungaji wako kwa asilimia kadhaa Utakuwa ndio kiongozi wa maisha yako (Hakuna wa kusema acha hiki au fanya hiki)   1. UNAFANYA MAAMUZI YA MAISHA YAKO MWENYEWE Luka 1:80, Hapa tunaona kwamba yohana akiisha kukua alikwenda Jangwani. Hakuna mtu aliye mfuata huko na kumwambia fanya hiki au usifanye hiki. Alichokifanya ni kumsikiliza Mungu anasema nini? Hii ni sifa mojawapo ya kukua kiroho.Na hii ni kwa sababu alikuwa na nguvu za rohoni. Muujiza wako unachelewa na yamkini ukafa kabisa kwa sababu hauna nguvu za rohoni. Isaya 37:3, inasema, “Wakamwambia, Hezekia asema hivi, Siku hii ni siku ya dhiki, na aibu na matukano, maana watoto(MUUJIZA WAKO) wa tayari kuzaliwa, wala hapana nguvu(NGUVU ZA ROHONI) za kuwazaa”. Unapokuwa huna nguvu ndani yako UTAHUBIRI, UTAIMBA, UTAOMBA lak

SIFA . Maana halisi ya sifa ni kumwambia au kumshuhudia Mungu au watu matendo ambayo huyo Mungu wako ameyafanya.Hii inatokana na mguso wa ndani ya moyo wa mtu unaompelekea aimbe kwa furaha, acheze, arukeruke na kushangilia huku akimtaja Mungu wake na matendo ambayo ametendewa.Inawezekana ikawa uhai, kuponywa magonjwa, kupewa nafasi nzuri kimasomo, kupata kazi, kuinuliwa kiroho, kusamehewa n.k.Sifa ipo katika maeneo makuu mawili ambayo ni sifa ya Mungu aliye hai au sifa kwa mashetani. Nikianza na sifa ya Mungu biblia inasema; “ Haleluya, Msifuni Mungu katika patakatifu pake, Msifuni katika anga la uweza wake, Msifuni kwa matendo yake makuu;Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake…………………………….Na kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya !”. Zaburi 150:1-6 .Anaposema msifuni Mungu katika patakatifu pake maana yake ni Mbinguni,mbele ya kiti chake cha enzi au pamoja naye; ndio maana nimekwambia lazima uwe mtakatifu kwa sababu ndipo mahali pa kumpa Mungu sifa pekee.Mungu wetu ni