Posts

NAMNA YA KURUHUSU UTUKUFU (GLORY) WA BWANA KUFANYA JAMBO KATIKA MAISHA YAKO

SOMO : NAMNA YA KURUHUSU UTUKUFU (GLORY) WA BWANA KUFANYA JAMBO KATIKA MAISHA YAKO UTUKUFU(GLORY)   – Udhihirisho wa utendaji kazi wa nguvu za Mungu waziwazi. EXPOSURE OF THE POWER OF GOD AT WORK ISAYA 60;1, “ONDOKA ,uangaze; maana nuru yako imekujia na UTUKUFU WA BWANA umekuzukia. Neno ONDOKA maana yake STEP OUT FROM………… au BE OUT OF…….. Amri ya KUONDOKA inakuja baada ya kuwa NURU YAKO PAMOJA NA UTUKUFU WA BWANA vipo tayari kwa ajili yako. Maana yake bila kuondoka mahali ulipo huwezi ukaangaza na nuru yako, lakini pia UTUKUFU WA BWANA hautaweza kutenda kazi ndani yako. Kuondoka ni hatua ambayo inafanyika ili kujisogeza kwenye mazingira stahiki ambapo NURU yako itaangaza lakini pia UTUKUFU WA BWANA UTAKUZUKIA (utaanza kutenda kazi kusudiwa ndani yako). Katika kitabu cha Mwanzo 12;1 – 2 Mungu anamtokea Abramu,. “ BWANA akamwambia Abramu, TOKA/ ONDOKA wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayo kuonesha, Nami nita
UWEZO WA KUTAWALA NA KUMILIKI ARDHI/NCHI KWA NJIA YA MAOMBI NA MWL. NICKSON KIPANGULA MFUMO WA KIROHO UNAOTOA KIBALI CHA KIFALME                                  Dhana ya ufalme imeanzia katika kitabu cha MWANZO 1; 28 Inasema, “ Mungu akawabarikia (akaachilia NGUVU) , Mungu akawaambia, zaeni (be fruitful), mkaongezeke( multiply), mkaijaze nchi na KUITIISHA; MKATAWALE samaki wa baharini, na ndege wa angani, NA KILA kiumbe CHENYE UHAI kiendacho juu ya nchi (LAND).”. Vipo vitu vya kujifunza hapa; 1.       Kumbe lengo kuu la Mungu kumuumba mtu ni kuwa aweze kutawala na kutiisha NCHI pamoja na kila kiumbe ili mradi kipo ndani ya nchi. Ø   KUMBUKA mtu ni roho, anayo nafsi , na anaishi ndani ya mwili. MAANA YAKE hayo maagizo yote anaachilia kwa roho ambayo baadaye ataiumbia mwili . 2.       Pia anaposema, AKAWABARIKIA maana yake AKAACHILIA NGUVU ya kufanya kile ambacho anawapa kukifanya ambacho ni KUTAWALA na KUTIISHA. Ø     Maana yake bila NGUVU huwez