Posts

Showing posts from 2015
TOBA YA KUULETA UFALME WA MUNGU ILI KURUHUSU MAPENZI YA MUNGU YA MBINGUNI YAFANYIKE DUNIANI (sehemu ya 1) Mathayo 4:17, “ …….tubuni maana ufalme wa Mbinguni umekaribia”. TOBA – kubadilika mtazamo, fikra, na mwenendo juu ya jambo baya ulilokua unalifanya ( changing mindset and changing lifestyle from bad things to good things). MWENENDO – Tabia, maneno, mawazo na matendo Kuna mambo lazima ukubali kuyaacha unapotaka ufalme wa Mungu uingie ndani yako au mahali ulipo ili Mungu atimize alilokusudia katika maisha yako. Hatuokoki tu kwa sababu tunataka kuingia mbinguni, tunaokoka ili tuunganishwe na nguvu ya Mungu ya kutulinda na Yule mwovu tukiwa tungali duniani. MAMBO AMBAYO MUNGU ANATULINDA TUKIWA NA UFALME WAKE Kazi ya shetani ni kuiba, kuchinja na kuharibu Makusudi/mipango ya Mungu ndani yetu. Kumbuka: Ili Mungu afanye jambo Fulani kwako ni lazima akushirikishe. Warumi 8:28, “ Nasi twajua kuwa katika MAMBO YOTE Mungu hufanya kazi pamoja na wampendao katika kuwapa
TOBA YA KUULETA UFALME WA MUNGU ILI KURUHUSU MAPENZI YA MUNGU YA MBINGUNI YAFANYIKE DUNIANI (sehemu ya 1) Mathayo 4:17, “ …….tubuni maana ufalme wa Mbinguni umekaribia”. TOBA – kubadilika mtazamo, fikra, na mwenendo juu ya jambo baya ulilokua unalifanya ( changing mindset and changing lifestyle from bad things to good things). MWENENDO – Tabia, maneno, mawazo na matendo Kuna mambo lazima ukubali kuyaacha unapotaka ufalme wa Mungu uingie ndani yako au mahali ulipo ili Mungu atimize alilokusudia katika maisha yako. Hatuokoki tu kwa sababu tunataka kuingia mbinguni, tunaokoka ili tuunganishwe na nguvu ya Mungu ya kutulinda na Yule mwovu tukiwa tungali duniani. MAMBO AMBAYO MUNGU ANATULINDA TUKIWA NA UFALME WAKE Kazi ya shetani ni kuiba, kuchinja na kuharibu Makusudi/mipango ya Mungu ndani yetu. Kumbuka: Ili Mungu afanye jambo Fulani kwako ni lazima akushirikishe. Warumi 8:28, “ Nasi twajua kuwa katika MAMBO YOTE Mungu hufanya kazi pamoja na wampendao katika
NAMNA   YA KULILINDA KUSUDI LA MUNGU   YAJUE MAMBO YATAKAYO KUSAIDIA KUISHI KWA FAIDA DUNIANI ILI KUJIWEKEA HAZINA NA MAHALI MBINGUNI NA; MWL. NICKSON KIPANGULA YALIYOMO 1.                  Shukrani………………………………………………………………………………….3 2.                  Maana Na Umuhimu Wa Kulilinda Kusudi ………………………………..4 3.                  Kubadilishwa Kwa Kusudi Toka Ulimwengu Wa Roho(Sirini) Mpaka Ulimwengu Wa Mwili……………………………………………………………......................11 - 13 4.                  Umuhimu Wa Kuomba Kwa Mzigo ( Maombi Mazito) Yanayokufanya Ulilinde Kusudi Na Kutembea Ndani Yake……………………………13 - 14 5.                  Wafahamu Watu Na Kabila Za Watu Wanaotolewa Punde Unapokuwa Wa Thamani(Kusudi Linatembea/Linaishi) Machoni Pa Mungu………………………………………………………………………………………15 6.                  Nguvu Ifanyayo Kusudi La Mungu Kudhihirika (Kuwa Halisi)………………………………………………………………………………16 - 17 7.                    Mambo Yatakayo Kusaidia Kulilinda Kusudi La Mungu.. 1